Hiki ni choo kinachotumiwa na wanafunzi wanaosoma katika shule ya msingi Mawemilu iliyopo kata ya Mwakitolyo halmashauri ya wilaya ya Shinyanga mkoani Shinyanga,kikiwa kimejengwa kwa nyasi
Ndani ya darasa la tatu katika shule ya msingi Mawemilu iliyopo kata ya Mwakitolyo halmashauri ya wilaya ya Shinyanga mkoani Shinyanga,ambako kuna magogo yanayotumiwa na wanafunzi kukaa wakiwa wanafundishwa na walimu wao
Social Plugin