Huyu ndiyo mwenyekiti mpya wa CHADEMA wilaya ya Shinyanga mjini mkoani Shinyanga Hassan Baruti-Picha kutoka Maktaba ya Malunde1 Blog |
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wilaya ya Shinyanga mjini mkoani Shinyanga kimefanya uchaguzi kuwapata viongozi wa chama ngazi ya wilaya,uchaguzi huo umefanyika mjini Shinyanga.
Na wafuatao ndiyo washindi katika nafasi mbalimbali waliotangazwa
MWENYEKITI WA CHADEMA WILAYA YA SHINYANGA MJINI ni Bwana Hassan Baruti,aliyechukua nafasi iliyokuwa inashikiliwa na bi Siri Yasin
KATIBU WA CHADEMA WILAYA ni Mussa Ngasa
MWENYEKITI BARAZA LA WAZEE ni- Titus Jilungu aliyechukua nafasi iliyokuwa inakaliwa na bwana Nyangaki Shilungushela"Mzee wa Utaratibu"
KATIBU MWENEZI CHADEMA WILAYA-Kadala David
MWEKA HAZINA CHADEMA WILAYA- Francis Kasiri
MWENYEKITI BARAZA LA VIJANA CHADEMA- Samson Mwagi
KATIBU BARAZA LA VIJANA CHADEMA-Zainabu Heri
KATIBU MWENEZI BARAZA LA VIJANA CHADEMA- Justine Mwasiga
MWEKA HAZINA BARAZA LA VIJANA CHADEMA- Majid Issa
MWENYEKITI BARAZA LA WANAWAKE CHADEMA -Zena Musa Gulam
KATIBU BARAZA LA WANAWAKE CHADEMA- Yunis Kisija
KATIBU BARAZA LA WAZEE -ni John Buhembo
MJUMBE MKUTANO WA TAIFA-Salaganda Khalid Salaganda
WAJUMBE KAMATI TENDAJI ni Joyce Haji, na Sipola Masibuka,Upande wa wanaume ni Valeliana Balege na Anthony Peter.
Social Plugin