Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

HAWA NDIYO WASANII WATAOFANYA SHOW KWENYE JUKWAA LA FIESTA MWANZA AGOST 9,2014

fiestabig
Msimu wa Fiesta 2014 umeshaanza na show ya kwanza  itafanyika kwenye uwanja wa CCM Kirumba tarehe 9/8/2014o siku ya Jumamosi. Hii ni list ya wasanii watakaofanya show kwenye jukwaa la Fiesta.

  • Diamond Platinumz
  • Shaa
  • Mkubwa na Wanae
  • Young Killer
  • Ney Wa Mitego
  • Mr Blue
  • Linah
  • Makomando
  • Madee
  • Young Dee
  • Super Nyota

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com