Sasa Kimeeleweka_YALE MAMILIONI YA FEDHA YALIYOIBIWA KISHAPU SASA YANARUDISHWA ,KILA KITU KIMEKAMILIKA
Friday, August 01, 2014
Aliyesimama ni mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga Ndugu Justine Sheka Halmashauri ya wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga imefanikiwa kurudisha kiasi cha shilingi billioni 2.1 zilizosemekana kuibiwa na baadhi ya watumishi wa idara mbalimbali wakishirikiana na watumishi wa benki ya NMB Manonga tawi la Shinyanga mjini,huku watumishi nane waliosimamishwa wakirejeshwa kazini. BOFYA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin