HAYA NDIYO YALIYOJIRI JIMBO LA SOLWA JIONEE PICHA NA TUKIO ZIMA.
Ngoma ya waswezi ikiburudisha katika mkutano wa hadhara uliofanyika kijiji cha Igalamya kata ya Usule halmashauri ya wilaya ya Shinyanga wakati wa ziara ya mbunge wa jimbo la Solwa Ahmed Salum ambaye aliambatana na mbunge wa viti maalum mkoa wa Shinyanga Azza Hilal pamoja na viongozi wengine wa serikali. TAZAMA ZAIDI HAPA |
Social Plugin