Mbali na kuandaa mshindano ya mbio za baiskeli kwa akina mama wakiwa wamebeba ndoo kichwani,TBL pia waliandaa mbio za baiskeli kwa watu wenye ulemavu.Pichani washiriki wa mashindano hayo wakijiandaa kuanza mpambano wakizunguka uwanja wa CCM Kambarage mjini Shinyanga |
Katika kusherehekea sikukuu ya nane nane mkoani Shinyanga TBL pia waliandaa mbio za baiskeli kwa wanamme za umbali wa kilomita 220.Pichani washiriki wakijiandaa kuanza safari kutoka Uwanja wa ccm Kambarage Shinyanga mjini kwenda Kahama kisha kurudi mjini Shinyanga ,ambapo unaambiwa walitumia masaa 6 na dakika 6 tu <<<BOFYA HAPA KUONA PICHA NYINGI ZAIDI>>> |
Social Plugin