Mandhari ya Rocken Hill Academy |
baadhi ya majengo ya shule ya msingi Rockeni hill kama yanavyooekana |
Hili ni bango la kuonyesha sasa unaingia katika shule ya Msingi Rocken Hill Wilayani Kahama mkoani Shinyanga
Huu ni ukumbi wa Catherine ndani ya shule hiyo
Wa pili kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa shule ya Rocken Hill Primary School Alexzander Kazimiri na Mkewe katika picha ya Pamoja na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga Justus Kamugisha katikati na AFISA usalama wa Taifa Mkoa wa Shinyanga mwenye Miwani
Mkurugenzi wa Rocken Hill Academy Alexzander Kazimiri akiwa ofisini kwake
Mkurugenzi wa Rockeni Hill Academy Alexzander Kazimiri akiwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga Justus Kamugisha
Kamanda akifungua jengo
Kamanda kabla ya kukata utepe
Wanafunzi nao hawakuwa nyuma kuonyesha burudani
Mkurugenzi akiteta jambo na kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga akivishwa skafu
Kamanda akisaini kitabu cha wageni
baadhi ya wanafunzi waliohudhuria mahafali hayo
wanafunzi wakishangilia
Kamanda akikata utepe
baadhi ya wanafunzi wa Rockeni hill wakipokea wageni
Afisa usalama wa taifa Mkoa wa Shinyanga akivishwa skafu na mwanafunzi
Mkurugenzi wa Rockeni Hill akiwa na Mkewe
Mgeni Rasmi katika mahafali hayo RPC Mkoa wa Shinyanga justus Kamugisha akiwasili katika shule hiyo
Meneja wa Shule akitoa maelekezo kwa wageni waalikwa
Alexzander Kazimiri akipeana Mkono na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinya justus Kamugisha baada ya kuwasili shuleni hapo
Burudani nazo zilikuwapo
Mkurugenzi na Kamanda wakielekea ofisini
baadhi ya wanafunzi waliohudhuria mahafali hayo
Bendi nazo zikuwapo zikitumbuiza
Picha zote kwa hisani ya mihayorj blog
Social Plugin