WANAFUNZI WA MZUMBE WAUA MWIZI WA LAPTOP KWA KUMPIGA MAWE,ANGALIA PICHA
الجمعة, أغسطس 15, 2014
Habari kutoka Morogoro zinasema kuwa Wanafunzi wa mzumbe main campus Morogoro wameua mwizi aliyeiba laptop kutoka mabweni mawili tofauti.
Taarifa zaidi zinasema uuaji huo umetokana na hasira kali za wanafunzi hao kuibiwa laptop kila siku na pia mwanzafunzi mwenzao kuvamiwa barabarani na kujeruhiwa na visu siku zilizopita....
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin