WATU WAWILI WAFARIKI DUNIA WAKIBATIZWA NDANI YA ZIWA VICTORIA
Tuesday, August 05, 2014
Watu wawili wamefariki dunia baada ya kuzama ndani ya ziwa Victoria walipokuwa wanabatizwa na mchungaji Nehemia Upendo wa kanisa la POOL of SILOAM. Wakati wakiendelea na ubatizo wimbi likawapiga na kusababisha watu wawili kupoteza maisha
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin