Ajali nyingine imetokea mkoani Songea huku watu wawili wakifariki dunia.
Gari lililopata ajali ni mali ya kampuni ya Super Feo aina ya Sosa inayofanya safari zake toka Songea kwenda Makambako na kutokana na chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi baada ya kuacha njia na kugonga mti na kuung'oa.Inaelezwa kuwa basi hilo lilikuwa linamkwepa mpanda baiskeli
Waliolala ni baadhi ya waliokuwa kati ya wasafiri ambao inasadikiwa kupoteza maisha katika ajali
Basi lililopata ajali
Mizigo ya abilia
Gali lililopata ajali
PICHA ZOTE KWA HISANI YA DEMASHO BLOG
Social Plugin