Baadhi ya majeruhi wa ajali hiyo ambao ni Waandishi wa Habari mkoani Mara Frolence Focus wa Mwananchi na Pendo Mwakembe wa Raia Tanzania wamenusurika kwenye ajali hiyo wakiwa kwenye basi la Mwanza Coach kutokea Musoma. Akizungumzia kwa tabu akiwa amelazwa kwenye wodi namba 4 hospitali ya rufaa ya mkoa wa Mra, Frolence amesema walishangaa kuona abiria waliokuwa wamekaa mbele wakisimama na kurudi nyuma na ghafla akasikia mlio mkubwa. Bas likiwa limeharibika vibaya sehemu ya mbele Mashuhuda Wamesema mabasi hayo ambayo yote yalikuwa kwenye mwendo kasi yalikutana kwenye daraja dogo katika eneo hilo huku pia gari dogo aina ya Land Crusser likitaka kuovateki na hivyo kupelekea kutokea kwa ajali hiyo. Mmoja wa mashuhuda hao aliyejitambulisha kwa jina la Juma Nyamhanga amesema alisikia kishindo kikubwa muda mfupi baada ya kutokea kwa ajali hiyo na baadae kusikia vilio vikitokea ndani ya mabasi hayo. |
Miili ya watu waliofariki katika jali ya mabasi ya Mwanza Coach na J4 Express eneo la sabasaba wilayani Butiama mkoani Mara,waliofariki ni zaidi ya 30,majeruhi zaidi ya 70
Mabasi yakiwa yamegongana
Wananchi wakiangalia bas la Mwanza Coach Ndani ya moja ya mabasi hayo |
SOMA ZAIDI HAPA
TAFADHALI BOFYA HAPA U LIKE PAGE YETU TUKUTUMIE "HABARI" MOJA KWA MOJA KILA ZINAPOTOKEA
TAFADHALI BOFYA HAPA U LIKE PAGE YETU TUKUTUMIE "HABARI" MOJA KWA MOJA KILA ZINAPOTOKEA