watu wanne wamefariki dunia na wengine 34 kujeruhiwa asubuhi ya leo baada ya basi la Airbus likitoka Dar es salaam kwenda Tabora kuacha njia na kupinduka. Ajali hiyo imetokea leo katika eneo la Kilosa mkoani Morogoro,na kwamba chanzo cha ajali inadaiwa kuwa ni mwendo kasi ANGALIA PICHA ZAIDI HAPA TUNAPENDA TUKUTUMIE HABARI ZETU MARA TU ZINAPOTOKEA, LIKE PAGE YETU SASA HIVI UENDE NA WAKATI. BONYEZA HAYA MANENO |
Social Plugin