ANGALIA PICHA-HII NDIYO SAFU MPYA YA UONGOZI CHADEMA
Monday, September 15, 2014
Uchaguzi wa viongozi wakuu wa chama cha Democrasia na maendeleo CHADEMA umemalizika katika ukumbi wa mliman city ambapo mwenyekiti wake FREMAN MBOWE ameshinda tena kiti hicho kwa kishindo na kutangazwa kuwa mwenyekiti mpya wa chama hicho kwa miaka mingine mitano matokeo ni kama ifuatavyo NAFASI YA UENYEKITI--- FREMAN MBOWE---KURA --789 GAMBARANYERE MWANGATEKA---KURA--20
NAFASI YA MAKAMU MWENYEKITI BARA PROFESA ABDALA SAFARI---KURA--775 NAFASI YA MAKAMU MWENYEKITI ZANZIBAR SAID ISSA MOHAMED---KURA--645 HAMAD MUSSA YUSUPH--163 Hivyo aliyekuwa mwenyekiti wa uchaguzi huo ALEX KISURURA amemtangaza mh FREMAN MBOWE kuwa mwenyekiti huku PROFESA SAFARI akichukua nafasi ya makamu mwenyekiti upande wa bara na SAID ISSA MOHAMED kuchukua nafasi ya makamu mwenyekiti upande wa zanzibar. CHINI KUNA PICHA BAADA YA USHINDI
Social Plugin