Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Breaking News!! MAJAMBAZI YAVAMIA MASWA MJINI,UMEME UMEKATIKA ,RISASI ZARINDIMA GIZANI

Habari zilizotufikia hivi punde kutoka mjini Maswa mkoani Simiyu ni kwamba watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wamevamia duka la mfanyabiashara anayejulikana kwa jina la Jimilage katika mtaa wa Msikitini na kupora pesa kiasi ambacho hakijajulikana usiku huu.

Tukio hilo limetokea hivi punde ambapo majambazi wamevamia na kuanza kurusha risasi hewani .

Mwandishi wa Malunde1 blog kutoka Simiyu Samwel Mwanga anasema tukio hilo limetokea wakati umeme ukiwa umekatika na mpaka sasa hakuna umeme mjini Maswa.

Taarifa kamili tutakuletea hivi punde....


UNGANA NASI KWA KU LIKE PAGE YETU TUKUTUMIE HABARI ZETU MARA MOJA,BONYEZA MANENO HAYA SASA

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com