Msanii wa muziki wa bongo fleva Nasibu Abdul 'Diamond' amemzawadia mpenzi wake Beutiful onyinye Wema Sepetu gari kama zawadi ya kumbukumbu ya kuzaliwa ya Wema Sepetu na kuandika ujumbe huu....
Nilitamani nikupe vingi, wenda ingenisaidia kueleza ni kias gani napenda nikuone ukifurahi kwenye siku yako hii ya kuzaliwa...lakini tu, sina uwezo huo mumy... tafadhari pokea kidogo hichi nlichojaaliwa leo.... na siku zote tambua kwamba your Platnumz, love you so much...! Happy Birthday baby!
Social Plugin