1] Redsan anakamata nafasi ya kwanza kwa kupokea pesa za Kenya Ksh 850,000 nikama Tsh15,446,000 kwa show moja.
Ingawa takwimu kamili bado hazitatolewa inasemekana kuwa Lady Jay Dee, Proffesa Jay, Ay na Diamond ndio wasanii wanaolipwa zaidi kwa show moja Tanzania.Nchini Kenya imeripotiwa kuwa wasanii hawa watano wanalipwa zaidi kwa show moja.Redsan
2] Jaguar ambaye ni mfanya biashara na msanii pia anapokea pesa za Kenya Ksh 300,000 ambazo ni kama Tsh 5,451,530.
Jaguar
3] Wyre The Love Child ni miongoni mwa wasanii wanaofanya kazi na wasanii wa kimataifa na wengi kutoka Jamaica. Wyre anakusanya pesa za kenya 300,000 ambazo ni kama za Jaguar.
Wyre
4] Nonini Mgenge anashikilia namba nne kwenye orodha hii akikusanya pesa za Kenya Ksh 200,000 ambazo ni kama Tsh 3,634,360.
Nonini
5] Kundi la vijana waimbaji la Sauti Sol lipo namba 5 kwani wao wanakusanya pesa za Kenya Ksh 500,000 ambayo nikama 9,085,800 za Kibongo.
Social Plugin