HIZI HAPA PICHA ZA SAMAKI WA AJABU ALIYEKUTWA PWANI YA BAHARI YA HINDI MTWARA
Tuesday, September 09, 2014
Mzoga wa samaki aina ya nyangumi umeibuka katika pwani ya Mtwara baada ya kukutwa ukielea bahari kuu na wavuvi. Mzoga huo ulivutwa hadi pwani kwa mshangao wa wananchi. Taarifa kamili ya tukio hilo zinatafutwa kwa sasa angalia picha za mzoga huo
Social Plugin