Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

JAMBAZI SUGU LAUAWA KWA KUCHOMWA MOTO NA KUBAKI MAJIVU BAADA YA KUUA WAWILI DODOMA


 
Jambazi sugu limeuawa na kuchomwa moto Mkoani Dodoma katika wilaya ya Chamwino kijiji cha Fufu. Kabla ya Jambazi hilo kuuawa na wanachi unaambiwa lilikuwa linataka kufanya uhalifu na baada ya kushindikana likaamua kuuwa raia wawili kwa bastola aliyokuwa nayo. 

Jambazi hilo lililokuwa na wenzake watatu ambao walikimbia na hawakufanikiwa kukamatwa. 

Ingawa Askari wakishirikiana na Raia wema wakiendelea kuwasaka hao watatu waliotoroka...Hadi ripota wa blog hii akiondoka eneo la tukio jambazi hilo lilikuwa linazidi kuteketea kwa moto na kubakia majivu..


 
Wananchi wakishuhudia mwili wa jambazi likiteketea kwa moto.

BONYEZA MANENO HAYA UJIUNGE NASI TUKUTUMIE HABARI ZETU MARA MOJA

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com