Polisi wa Los Angeles wameeleza kuwa mwimbaji wa kike wa Marekani, Simone Battle aliyekutwa amekufa nyumbani kwake wiki iliyopita alijiua kwa kujinyonga.
Sababu ya kifo chake imetajwa siku mbili baada ya polisi kuanza uchunguzi kufuatia tukio hilo lililotokea kusini mwa Hollywood.
Simone Battle aliwahi kuwa mshiriki wa shindano la kuimba la X Factor na kufika katika hatua ya fainali, pia alikuwa member wa kundi la G.R.L.
TUNAPENDA TUKUTUMIE HABARI ZETU MARA TU ZINAPOTOKEA, LIKE PAGE YETU SASA HIVI UENDE NA WAKATI. BONYEZA HAYA MANENO
TUNAPENDA TUKUTUMIE HABARI ZETU MARA TU ZINAPOTOKEA, LIKE PAGE YETU SASA HIVI UENDE NA WAKATI. BONYEZA HAYA MANENO
Social Plugin