MBUNGE wa maswa Magharibi John Shibuda (CHADEMA ) amevuruga kikao cha baraza la Madiwani katika halmashauri ya wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu kutokana na kuingiza mambo ya ukawa ndani ya baraza hilo ambapo ilifikia hatua ya kurushiana maneno makali na mbunge mwenzake wa Mashariki Slyvester Kasulumbayi (CHADEMA) ambapo vurugu kubwa ilitokea na kutishia kuvunjika kwa kikao
Kikao hicho kilichokuwa kikifanyika kwenye Ukumbi wa Halmashauri ya wilaya ya
Maswa ambapo Shibuda alianza kueleza msimamo wake mbele ya baraza hilo kutounga mkono msimamo wa UKAWA na kuukataa muundo wa serikali tatu.
Maswa ambapo Shibuda alianza kueleza msimamo wake mbele ya baraza hilo kutounga mkono msimamo wa UKAWA na kuukataa muundo wa serikali tatu.
Social Plugin