Mh!! MFALME MSWATI WA USWAZI ACHAGUA MKE WA 14 KATI YA WAREMBO ELFU 80 WENYE BIKRA,WALIOROKA KUKIONA CHA MOTO

KING Mswati Mfalme wa Swaziland amefikisha wake kumi na nne 14 baada ya juzi jumatatu kumchagua mke mwingine mwenye umri wa miaka 19 masharti ya mwanamke anaetakiwa kuchaguliwa ni sharti awe bikra.

Takribani wasichana 80,000 walipita mbele ya wageni wa heshima 46 ambapo na mfalme alikuwa ameketi mbele akiwa kaketi na malkia aliechaguliwa mwaka jana LaFogiyane Baadhi ya wasichana wanakimbia katika taifa hilo kutokana na sheria hizo.

wasichana hao hupita wakiwa nusu uchi ndipo mfalme anachagua mke wake kafikisha wake 14 Pia sasa katika ngoma ya mwanzi alikuwa mfalme Goodwill Zwelithini, mfalme wa Zulu taifa ambaye ana wake 6.
Huyu ni miongoni mwa wasichana wanaopinga kwa nguvu zote sheria za nchi hiyo na yeye katoroka nchini Swazland na anaamini kuwa endapo akirudi nchini kwao atakamatwa na kuuwawa kwani ndio sheria ya nchi yao.
Mfalme Mswati, Mfalme wa Swaziland.

TAFADHALI BOFYA HAPA U LIKE PAGE YETU TUKUTUMIE "HABARI" MOJA KWA MOJA KILA ZINAPOTOKEA

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Previous Post Next Post