NI BALAAA_ TAZAMA PICHA WAREMBO SHINDANO LA MISS TANZANIA 2014 WAKIFANYA MAZOEZI JIONI YA LEO
Sunday, September 14, 2014
Warembo wanaoshiriki shindano la Redd's Miss Tanzania 2014 leo wameingia siku ya pili ya kambi yao jijini Dar es Salaam na baada ya semina asubuhi na mapumziko ya mchana, jioni hii wamefanya mazoezi katika chumba maalum cha mazoezi 'Gym'
Social Plugin