Wakati serikali ikiwa katika utekelezaji wa mpango wa matokeo makubwa sasa, hali imeonekana kuwa tofauti katika shule ya sekondari Mwantini iliyopo halmashauri ya wilaya ya Shinyanga mkoa wa Shinyanga baada ya kukutwa na waandishi wa habari wakifyatua matofali ya shule majira ya saa 5:00 asubuhi muda ambao wangetakiwa kuwa darasani wakiendelea na vipindi vya masomo. Wanafunzi hao wamekuwa wakifanya kazi hiyo wiki nzima bila kuingia darasani huku wakikosa masomo ambayo ni haki yao ya msingi. SOMA HABARI HII HAPA |
Tags:
shinyanga