Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

TAARIFA ZA KIFO CHA MSANII WA BONGO FLEVA SIDE BOY MNYAMWEZI

Muimbaji wa muziki wa Bongo Fleva Said Salim 'Side Boy Mnyamwezi' enzi za uhai wake.
Muimbaji wa muziki wa Bongo Fleva, Said Salim aliyekuwa akitumia jina la kisanii la Side Boy Mnyamwezi amefariki dunia. Side Boy amefariki leo katika Hospitali ya Nyangao iliyopo mkoani Lindi. Aliwahi kutoa nyimbo kadhaa zikiwemo ‘Hujafa Hujaumbika’, ‘Usidharau Usiyemjua’ na ‘Kua Uyaone.’

SIKILIZA MOJA YA NYIMBO ZA MSANII HUYU ENZI ZA UHAI WAKE

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com