Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

TAHADHALI PICHA ZINATISHA- HII NDIYO MICHEZO HATARI ZAIDI DUNIANI



Hii ishara inaonesha kuwa hautakiwi kunywa pombe .. sasa huyu jamaa anapata shida sana akitaka kunywa maji au chakula maana anatafuta kanafasi kadogo ili kufanya hivyo.
Ni alama ya tahadhali hii ni moja ya mamia ya watu ambao hawali nyama huko Thailand , huyu anaamini kwa kujiweka mapaga makali na kujichoma hivi itasaidia watu kuacha maovu kabisa na kuwapa amani mioyoni mwao
Hii ni hali ya kawaida sana kwao 
Huu ni utalii kabisa ambapo watu wengi wanaenda kuutazama , ikiwa kama kwetu pia likitokea kundi kama hili wanaokataa mambo maovu kwa mtindo huu itakuwa ni sehemu nzuri ya utalii
Hebu mtazame kwa umakini huyu jamaa yeye amejichoma na sindano kibao hapa chukua muda wako uzihesabu
Huyu kasha kula sana vyuma

Hii ni sema hapana kuto kula nyama, kufanya mapenzi na kunywa pombe 




Hii inamaanisha ni lazima kuangamiza maovu 




Haya si mapambo lakini hawa wanakataa matendo ya ajabu ajabu 




Sasa huyu ametobolewa na kuwekwa nguo mdomo mzima pia wanapigania kuacha na kutokomeza uhalifu 




Hapa Jibu unalo


Hapa wanaamini kabisa kwa kufanya hivi wanasema hapana kabisa uhalifu kataa uhalifu ndio maana yake hapa


Sasa Tazama huu Mjambia hapa jamaa analamba hajali vipi anaumia lakini anamaanisha uhalifu basi 




Tazama nanasi hizo zimepita katika waya ambao unasaidiwa na midomo yao ambauyo wamechomwa 





mambo yanaendelea 

Hapaana mchezo
MAELEZO NA THIS DAY MAGAZINE PICHA NA GATTY IMAGES/AFP/REUTERS
BONYEZA MANENO HAYA UJIUNGE NASI TUKUTUMIE HABARI ZETU MARA MOJA

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com