TAZAMA PICHA_ SAMAKI MWINGINE WA AJABU AONEKANA UFUKWE WA PEMBA,WANANCHI WAJIPATIA KILAJI KIULAINI
Saturday, September 27, 2014
Wafanyakazi wa Uvuvi pemba wakimpima Nyangumi aliyeonekana Pemba akiwa ameanguka ufukwe wa bahari wa shamiani.
Wananchi wakikata minufo ya Nyangumi aliyeangukia katika ufukwe wa Pemba bahari ya Hindi maeneo ya shamiani, kama wanavyoonekana pichani wakiwa katika harakati hizo.
Social Plugin