|
Ndani ya kumbi wa Mwalimu House mjini Shinyanga-Pichani ni mwenyekiti wa klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Shinyanga (SPC)Shija Felician akifungua mafunzo ya siku 4 kwa waandishi wa habari 25 kutoka mkoa wa Shinyanga na Simiyu yanayohusu Namna ya kuripoti habari katika mazingira hatarishi.Mafunzo hayo yaliyoanza leo Jumatatu yameandaliwa na Baraza la Habari Tanzania(MCT)
Waandishi wa habari wakiwa ndani ya ukumbi wa Mwalimu House mjini Shinyanga wakifuatilia mafunzo kuhusu namna na kuandika habari katika mazingira hatarishi pamoja na kuandika habari kwa kufuata maadili ya uandishi wa habari ili kuhakikisha kuwa haki inatendeka kwa kila upande |
|
Wa kwanza kushoto ni katibu wa Klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Shinyanga(SPC) bi Kareny Masasy kulia kwake ni ndugu Kadama Malunde mkurugenzi wa Malunde1 blog |
Kushoto ni mwezeshaji wa mafunzo hayo bwana Paul Malimbo ambaye ni afisa miradi kutoka Baraza la Habari Tanzania(MCT) akiwa na mwenyekiti na katibu wa SPC
|
Waandishi wa habari wakifuatilia kilichokuwa kinajiri ukumbini |
|
Waandishi wa habari wakongwe mkoani Shinyanga wakisikiliza kilichokuwa kinajiri wakati wa mafunzo hayo |
|
Semina inaendelea |
|
Washiriki wa mafunzo hayo ya siku 4 wakijadiliana katika makundi |
|
Mijadala inaendelea |
|
Kazi katika makundi zinaendelea |
|
Kazi katika makundi inaendelea |
Katibu wa SPC Kareny Masasy akijibu maswali yaliyoulizwa katika kundi lake
|
Makamu mwenyekiti wa klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Shinyanga ndugu Greyson Kakuru akichangia mawili matatu wakati wa semina hiyo leo |
Semina inaendelea
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com