Tazama Picha_UNAAMBIWA HILI NDIYO DARAJA REFU KULIKO MADARAJA YOTE YANAYOPITA JUU YA MAJI DUNIANI
Tuesday, September 30, 2014
Daraja la Akashi- Kaiyo lililopo Japan ndilo daraja refu na pana kuliko madaraja yote duniani yanayopita juu ya maji.Daraja hilo lina urefu wa mita 1,991 juu na lilijengwa kwa muda wa miaka 10, ambapo lilimalizika mwaka 1998.
Daraja hilo linaunganisha jiji la Kobe liliko bara na Iwaya iliyoko katika kisiwa cha Awaji. Daraja hili linajulikana pia kama ‘Pearl Bridge’.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin