TAZAMA VIDEO MPYA YA KAKA JAY ft JAY ONE - WIMBO UNAITWA "TANZANIA"
Sunday, September 21, 2014
Malunde1 blog inakutambulishia rasmi Video mpya ya Joash Timothy Omolo maarufu kwa jina la "Kaka Jay" kutoka Kahama,mkoa wa Shinyanga,nchini Tanzania,wimbo unaitwa "Tanzania". Wimbo "Tanzania"umeimbwa na Kaka Jay na amemshirikisha Jay One.
TAZAMA VIDEO HII NI NZURI,UTAIPENDA
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin