Mti wa ajabu kama unavyoonekana ukiwa na sura kama ya binadamu pamoja viungo vinavyofanana na mwanamke!
Watafiti wa mambo Kaskazini mwa Misri wameshikwa na butwaa baada ya kuugundua mti mmoja mkubwa wenye umbo kama la binadamu tena mwanamke wa kike na kusababisha taharuki kubwan nchini humo
Habari juu ya maajabu hayo zilirushwa kwenye televisheni moja ya nchini humo na kusababisha wananchi nchini humo kuogopa huku wengine wakisema sasa huu ni mwisho wa dunia.Hata hivyo maajabu mengine ya mti huo kama unavyoonekana kwenye picha huwa hauoti matawi lakini ni mbichi na ukiusogerea karibu unatoa unakutana na baridi kari zaidi ya ile ya kipupwe"AC" hali inayofanya kuwa kivutio kwa watalii wanaomiminika kuustaajabu.
BONYEZA MANENO HAYA UJIUNGE NASI TUKUTUMIE HABARI ZETU MARA MOJA
Social Plugin