Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani Kituo cha Mbagala wilayani Temeke, Koplo Riziki Mohamedi aliyekuwa amelazwa katika Hospitali ya Rufani ya Muhimbili baada ya kugongwa na gari akiwa kazini amefariki dunia leo
Mmoja wa mashuhuda wa tukio hilo aliyekataa kutajwa jina alidai kuwa trafiki huyo alisimamisha gari ghafla na gari la nyuma lililokuwa nyuma likapita bila kusimama na kumgonga na kisha kuyagonga magari mengine yaliyokuwa mbele.
Social Plugin