Utamaduni Lake Zone_MSIKILIZE MZEE SONDA KABESHI AKIELEZEA MAANA YA NENO "WASUKUMA",HISTORIA YA WASUKUMA NA WAMETOKA WAPI

Katika Utamaduni Lake zone,leo utamsikia mzee Sonda Kabeshi kutoka kata ya Masekelo katika manispaa ya Shinyanga mkoani Shinyanga anayepatikana kwa simu namba 0783 495 796 akizungumzia maana ya neno "Msukuma",asili ya Wasukuma,nani alianzisha Neno Wasukuma/Msukuma.

Lakini pia utamsikia akifafanua maana ya ma
neno "Nduhu Tabhu" (Hakuna shida kwa kila kitu)kwanini Wasukuma wanapenda kutumia neno "Nduhu Tabhu",na kuna siri gani iliyojificha ndani ya maneno hayo.

Mzee Sonda Kabeshi ni mwanahistoria aliyezunguka maeneo mengi ya kanda ya ziwa,amejionea maajabu mengi,mengine hayazungumziki katika jamii,lakini kupitia Malunde1 blog utajifunza na kujua mambo hayo kupitia "UTAMADUNI LAKE ZONE"

SIKILIZA HAPA CHINI


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Previous Post Next Post