Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

ANGALIA PICHA AJALI YA BASI KUGONGA PUNDA HUKO NZEGA NA KUUA MTU MMOJA,MAJERUHI 12 WAKO MAHUTUTI



 Punda aliyesababisha ajali hiyo leo akiwa amekufa baada ya kugongwa na basi la NBS

Habari zilizotufikia  kutoka mkoani Tabora ni kwamba basi la NBS lililokuwa linatoka jijini ,Mwanza kwenda Mpanda,limegonga punda leo asubuhi na kupinduka katika eneo la Nzega Ndogo.


Kwa mujibu wa taarifa zilizotufikia ni kwamba mtu mmoja,ambaye ni kondakta wa basi hilo amefariki dunia na majeruhi wamekimbizwa katika hospitali ya wilaya ya Nzega.Inaelezwa kuwa majeruhi 12 wako mahututi



Basi likiwa eneo la tukio leo

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com