Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (kulia), akiwa na Naibu
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, anayeshughulika na Uendeshaji na
Huduma kwa Wateja, Saugata Bandyadhiyay wakati wakiingia katika ukumbi
wa mikutano wa Hoteli ya serena jijini Dar es Salaam kuzungumzia Wiki ya
Wateja wa Benki hiyo itakayoanza Oktoba 6-11.
Naibu
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Esther Kitoka (kulia), akiingia
katika mkutano huo akiongozana na maofisa wa Benki hiyo.
Naibu
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Esther Kitoka (kulia), Naibu
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, anayeshughulika na Uendeshaji na
Huduma kwa Wateja, Saugata Bandyadhiyay (katikati) wakimsikiliza kwa
makini Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei muda
mfupi kabla ya kuanza mkutano na waandishi wa habari katika hoteli ya
Serena jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya maofisa wa Benki ya CRDB wakiwa katika picha ya pamoja.
Maofisa wa Benki ya CRDB wakiwa jkatika mkutano huo.
Maofisa wa Benki ya CRDB wakiwa katika mkutano huo.
Baadhi ya wafanyakazi wa Benki hiyo.
Naibu
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Esther Kitoka (kulia), Naibu
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, anayeshughulika na Uendeshaji na
Huduma kwa Wateja, Saugata Bandyadhiyay (kushoto) wakimsikiliza
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei wakati wa
mkutano na waandishi wa habari katika hoteli ya Serena jijini Dar es
Salaam.
Meneja Uhusiano wa Benki ya CRDB, Godwin Semunyu (kulia) akiwa na maofisa wa Benki hiyo kabla ya kuanza kwa mkutano.
Mkurugenzi wa Masoko Utafiti na Huduma
kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa akimkaribisha Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei kuzungumza na waandishi wa habari kjuhusu Wiki ya Wateja wa Benki ya CRDB.
kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa akimkaribisha Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei kuzungumza na waandishi wa habari kjuhusu Wiki ya Wateja wa Benki ya CRDB.
Mkurugenzi wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumzana waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu maadhimisho ya wiki ya Wateja wa Benki ya CRDB itakayoanza Oktoba 6-11.
Social Plugin