Mkurugenzi Mkazi wa shirika la Elizabeth Glaser Pediattic AIDS Foundation (EGPAF), Dkt. Jeroen Van’t Pad Bosch akielezea kuhusu shirika la EGPAF.
Wabunge wa kamati ya UKIMWI na baadhi ya washiriki kutoka wizara ya Afya na TACAIDS waliohudhuria mkutano. |
Elizabeth Glaser Pediatric AIDS Foundation (EGPAF) Tanzania ni shirika lisilo la kiserikali linalopata ufadhili kutoka serikali ya watu wa Marekani kupitia mashirika yake ya CDC na USAID. EGPAF inashirikiana na halmashauri za wilaya katika kuendesha miradi yake inayohusiana na VVU na UKIMWI.
EGPAF inafanya kazi katika mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Lindi, Mtwara, Shinyanga, Simiyu, Geita na Tabora kuwezesha huduma za kuzuia maambukizi ya virusi vya UKIMWI kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto na afya ya uzazi na mtoto. Miongoni mwa huduma zinazoendeshwa na kuwezeshwa na EGPAF ni:

· Kuzuia maambukizi ya VVU kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto (PMTCT)
· Huduma za matibabu na matunzo kwa watu wanaoishi na VVU
· Huduma shirikishi ya Tiba ya UKIMWI na kifua kikuu
· Huduma za Wagonjwa Majumbani
· Huduma ya uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi
· Ugunduzi wa mapema wa VVU kwa watoto wachanga (EID)
· Huduma ya uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi
· Huduma za Maabara: