Gari aina ya Land Cruser lenye namba za usajili T 985 CYZ ambayo ni mali ya chama cha CCM likiwa limeharibika upande wa mbele baada ya kugongana na roli la mizigo mkoani Morogoro. Pia katika ajali hii hakuna mtu aliyefariki.
Wasamaria wema wakilitoa gari dogo barabarani kwa ajili ya kuondoa foleni iliyokuwepo eneo hilo
PICHA NA CCM BLOG
Social Plugin