Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Hatari sana!! KIJANA AUAWA KWA KUCHOMWA MOTO AKIGOMBANIA MWANAMKE NA VIJANA WENZAKE HUKO TABORA

Baadhi ya watu wakiwemo watoto wakiangalia mwili wa kijana aliyeuawa kwa kupigwa na baadaye kuchomwa moto eneo la kata ya Kiloleni manispaa ya Tabora kutokana na kile kinachodaiwa alikuwa anagombania mwanamke.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa vyanzo vyetu vya habari imeeleza kuwa kijana huyo alitekwa na kundi la vijana wenzake majira ya usiku wakigombea msichana hatua ambayo ilisababisha kufanyiwa unyama huo uliosababisha kifo chake.

Hata licha zogo kubwa lililotokea lakini hakuna mwananchi hata mmoja aliyejitokeza kwenda kumsaidia kijana huyo ambaye hadi umauti unamkuta hakuna mtu aliyemfahamu mara moja huku vijana waliotekeleza unyama huo wakitokomea kusikojulikana.

via>Kapipi blog

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com