Hii stori imekuja siku chache baada ya Rais Jakaya Kikwete kutangaza mpango utaofanyiwa kazi hivi karibuni wa kuwepo kwa Treni itayokua inatumika kusafirisha abiria na kuwapeleka Airport Dar es salaam na kuwachukua wengine kutoka Airport hadi mjini.
Utafiti huu wa vituo 11 vya treni vyenye mvuto duniani umefanywa na kampuni ya Emporis Humburg ambapo hakuna hata kituo kimoja cha Afrika kilichoingia kwenye list.
Social Plugin