Wa kwanza kulia ni naibu waziri wa nishati na madini na mbunge wa jimbo la Shinyanga mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi mheshimiwa Stephen Masele,aliyeshikilia kipaza sauti ni mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga ndugu Khamis Mgeja akizungumza katika harambee hiyo ambapo aliwataka wananchi kuendelea kumuunga mkono mbunge wao katika shughuli za maendeleo na kwamba amefurahishwa na kitendo cha mbunge huyo kuwa mstari wa mbele katika harambee ya kujenga wodi kwa ajili ya akina mama huku akipongeza kazi mbalimbali zinazofanywa na wabunge mkoa wote wa Shinyanga na watendaji wa serikali.Pia aliwaasa kuunga mkono shughuli za maendeleo bila kujali itikadi ya kichama kwani watanzania wanahitaji maendeleo-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog
Waandishi wa habari wakiwa katika eneo la tukio lililohudhuriwa na wakuu wa wilaya mbalimbali nchini,wafanyabiashara,wachimbaji wa madini(wakubwa,kati na wadogo),wenyeviti na wakurugenzi mbalimbali wa halmashauri,viongozi wa siasa(wabunge na madiwani) na serikali,waandishi wa habari na wananchi wenye mapenzi mema-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog
Wakati harambee inaendelea,mvua nayo ikanyesha,wengine walijifunika viti ili wasinyeshewe mvua-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog |
Picha ya pamoja mgeni rasmi Stephen Masele(wa 3 kutoka kushoto)na baadhi ya wakuu wa wilaya ,mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga,waliohudhuria harambee hiyo na kuchangia mamilioni ya fedha kwa ajili ya ujenzi wa wodi ya wazazi huku wenyeji wakidaiwa kuingia mitini pamoja na kwamba walipewa barua za mialiko
TAZAMA PICHA ZAIDI ZA PAMOJA HAPA CHINI KWA MAKUNDI MBALIMBALI BAADA YA HARAMBEE HIYO
Picha ya pamoja na mgeni rasmi aliyechangia shilingi milioni 45 katika harambee hiyo huku jumla kuu iliyopatikana ni milioni 115 wakati lengo lilikuwa ni kupata shilingi milioni 105 tu -Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog
Picha ya pamoja mganga
mkuu wa kituo hicho cha afya Dkt. Costantine Hubi anasema kituo cha afya cha Kambarage kinakabiliwa na changamoto nyingi ikiwemo ukosefu wa jengo la kujifungulia
wajawazito,ukosefu wa wodi maalumu ya wajawazito
kabla ya kujifungua, wakati wa kujifungua na baada ya kujifunguana ukosefu wa chumba cha upasuaji wa dharura kwa wajawazito wenye uchungu pingamizi
sambamba na ukosefu wa gari la kubeba wagonjwa -Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog
Picha ya pamoja-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog
Picha ya pamoja-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog
Picha ya pamoja-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog
Picha ya pamoja-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog |
Picha ya pamoja waandishi wa habari na mgeni rasmi |
Picha ya pamoja-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog |