Kuna taarifa kuwa mwanafunzi aliyefahamika kwa jina moja la Moza aliyekuwa anasoma mwaka wa kwanza katika chuo cha Uhasibu TIA Mkoani Singida amenusurika kufa baada ya kujichoma kisu tumboni.Tukio hilo limetokea jana baada mwanafunzi huyo kumfumania mpenzi wake wa kiume akiwa na mwanamke mwingine.Kuna taarifa kuwa amefariki dunia huku taarifa zingine zikidai kuwa mwanafunzi huyo anapatiwa matibabu katika hospitali ambayo haijajulikana mara moja
via>>Info is hot
via>>Info is hot
Social Plugin