Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

KAMERA ZETU SAA CHACHE KABLA YA MCHEZO KATI YA YANGA VS STAND UNITED LEO MJINI SHINYANGA


 Saa chache tu zimebaki kuanza kwa  mchezo wa ligi kuu ya Vodacom 2014/2015 kati ya Stand United na Young Africans utakaochezwa leo jioni Jumamosi katika uwanja wa CCM Kambarage mjini Shinyanga.Pichani ni Washabiki wa Timu ya Stand United wakiwa wamepanda kwenye Katapila mjini Shinyanga ,likiendeshwa na Mbunge wa Kishapu Suleiman Nchambi-Picha na Samwel Mwanga-Malunde1 blog



Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com