Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akifurahia jambo na Nape Nnauye
Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi mara baada ya kuwasili katika
kata ya Mng’aro Lushoto mara baada ya kushuka milima ya Usambara huku
akiendesha Baiskeli pamoja na Nape Nnauye na wananchi wengine wakati
msafara wake ukielekea jimboni Mkinga wilaya ya Mkinga, Katibu Mkuu wa
CCM Ndugu Abdulrahman Kinana yuko katika ziara ya mkoa wa Tanga akikagua
na kuhimiza utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010,
Akiongozana na Nape Nnauye.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-MKINGA
TANGA)
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akionoza wananchi wakati akishuka
milima ya Usambara kwa kutumia baiskeli pamoja na Nape Nnauye Katibu wa
NEC Siasa, Itikadi na Uenezi pamoja na wananchi wengine.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongoza wananchi katika msafara wake.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na Nape Nnauye wakiendelea na safari pamoja na wananchi.
Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi akiwasili kwa baiskeli katika kata ya Mng’aro Lushoto.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipiga makofi na Mkuu wa wilaya
ya Lushoto Mhe. Majid Hemed Mwanga (kulia) wakipiga makofi huku mwadishi
wa habari wa gazeti la Jambo Leo akifurahia mara baada ya kuwasili
katika kata ya Mng’aro wilayani Lushoto.
Mkuu wa wilaya ya Lushoto Mhe. Majid Hemed Mwanga akizungumza na wananchi katika kata ya Mng’aro wilayani Lushoto.
Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi akizungumza na wananchi katika kata ya Mng’aro wilayani Lushoto.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi katika kata ya Mng’aro wilayani Lushoto.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiagana na Mkuu wa wilaya ya Lushoto Mhe. Majid Hemed Mwanga.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na viongozi
mbalimbali wa wilaya ya Mkinga alipowasili katika kata ya Daluni B/
Bombo.
Kikundi
cha ngoma kikitumbuiza wakati wa mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu
Abdulrahman Kinana alipowasili katika kata ya Daluni B/ Bombo wilaya ya
Mkinga.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa msingi wa zahanati ya kata ya Daluni B/ Bombo wilaya ya Mkinga.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi baada ya
kushiriki ujenzi wa msingi wa zahanati ya kata ya Daluni B/ Bombo wilaya
ya Mkinga wa pili kutoka kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Mkinga
Bi.Mhe.Mboni Mgaza
Mkuu
wa kituo cha polisi cha Malamba Bw. SA Mushi akisoma risala kwa Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakati katibu mkuu huyo
alipotembelea na kukagua ujenzi wa jengo jipya la kituo hicho.
Hiki ndiyo kituo kinachotumika kwa sasa.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa msingi wa jengo la kituo kipya cha Malamba wilayani Mkinga. Mkuu wa wilaya ya Mkinga Bi.Mhe.Mboni
Mgaza akizungumza na wajumbe wa mkutano mkuu wa wilaya ya Mkinga
uliofanyika katika ukumbi wa World Vision Manza wilayani Mkinga.
Baadhi ya maofisa wa CCM wakiwa katika mkutano huo kuanzia kushoto ni Edward Mpogole, Mzee Msami Gifti Msuyana Adam Mzee.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wajumbe wa mkutano huo.
Baadhi ya wajumbe wa mkutano wa mkutano mkuu wa CCM wilaya ya Mkinga wakiwa katika mkutano huo.
Katibu
wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi Ndugu Nape Nnauye akiwasalimia wananchi
wa kata ya Duga kijiji cha Maforoni wilayani Mkinga.
Baadhi ya wananchi wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana katika kijiji cha Maforoni wilaya ya Mkinga.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimia na kuzungumza na
wananchi wa kata ya Duga kijiji cha Maforoni wilayani Mkinga mara baada
ya kuwasili kijijini hapo.
Diwani wa kata ya Duga Bw. Ali Ali akizungumza na wapiga kura wake katika kijiji cha Maforoni wilayani Mkinga.
Mkuu
wa wilaya ya Mkinga Bi.Mhe.Mboni Mgaza akijibu baadhi ya maswali mbele
ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakati katibu mkuu huyo
alipozungumza na wananchi katika kijiji cha Maforo wilayani Mkinga.
Social Plugin