Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Kumekucha!! HUYU HAPA NDIYO MSHINDI MISS TANZANIA MWAKA 2O14,SHUHUDIA TUKIO ZIMA HAPA

Mrembo wa Redd's Miss Tanzania 2014,Sitti Abbas Mtemvu akiwa katika picha ya pamoja na Mshindi wa pili,Lillian Kamazima (kulia) na Mshindi wa Tatu,Jihhan Dimachk mara baada ya kutangazwa rasmi usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Mlimani City,jijini Dar es Salaam. 

Sitti Mtemvu alianza kwa kunyakua Redds Miss Chang'ombe na baadaye Redds Miss Temeke. Sitti ni binti wa Mbunge wa Temeke, Mhe. Abbas Mtemvu.
Kwa ushindi huo, Sitti atapeperusha bendera ya Tanzania katika mashindano ya Miss World 2015 na kajinyakulia kitita cha milioni 18 . 
Dorice Mollel ameshika nafasi ya nne wakati Nasreen Abdul akichukua nafasi ya tano.

BOFYA HAPA KUONA PICHA NYINGI ZAIDI

Bonyeza Maneno haya Tukutumie Habari zetu zote moja kwa moja hapo ulipo

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com