Moja ya mabango Likionesha juu Maadhimisho ya Miaka 50 ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE)
Bango kubwa la mualiko
Mbeya Hotel ambapo ndipo mkutano huo unafanyika
Eneo ambapo Mkutano huo unakwenda kufanyika leo ndani ya Mbeya Hotel.
Ikiwa
imeanza Safari ya kuelekea katika Sherehe ya Kuhitimisha Miaka 50 ya
Chuo cha Elimu ya Bishara (CBE) , Katika Kampasi ya Mbeya leo
kumeandaliwa Mkutano maalum wa wahitimu wa Chuo hiki cha CBE walio wahi
kusoma kuanzia mwaka 1965-2014 ikiwa ni sehemu ya Maadhimisgho ya Siku
hii muhimu. Wahitimu hawa ni kutoka Nyanda za Juu kusini.
Katika
Sherehe hii muhimu kwa Chuo cha CBE mgeni Rasmi atakuwa ni Mkuu wa Mkoa
Mstaafu wa Mkoa wa Mbeya Mh. John Mwakipesile, Pia Mkuu wa Chuo cha
Elimu ya Biashara (CBE) Profesa Emmanuel Mjema atakuwepo pamoja na wadau
wengine mbalimbali.
Kuwa nasi hapa moja kwa moja kufuatilia Tukio hili lote moja kwa moja hapa hapa.
Picha na Tone Multimedia Live Group
Social Plugin