YANGA YAICHAPA STAND UNITED BAO 3-0,BILA HURUMA LEO MJINI SHINYANGA
Saturday, October 25, 2014
Mchezo wa ligi kuu ya Vodacom kati ya Stand United na Yanga uliokuwa unafanyika katika uwanja wa CCM Kambarage mjini Shinyanga umemalizika huku Yanga ikiichapa Stand Fc bao 3-0.Pichani ni mashabiki wa Yanga wakishangilia baada ya kuwachapa wenyeji Stand United Tatu bila. Jaja ameipatia Yanga bao la kwanza dakika ya 13,huku Jery Tegete akiongeza bao la pili dakika ya 79 na baadaye dakika ya 90 Tegete akaongeza bao la tatu.-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog
Wapenzi wa mpira wa miguu wakiwa katika uwanja wa Kambarage leo kushuhudia mchezo kati ya Stand United na Yanga-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog
Mashabiki wa Stand United uwanjani-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog
Mchezo unaendelea-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog
Dawati la ufundi timu ya Yanga-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog
Kikosi cha Stand United leo
Kikosi cha Yanga leo-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog
Mashabiki wa Stand united wakiingia uwanjani wakiwa wamepanda juu ya Katapila-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog
Mashabiki wa Yanga uwanjani-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin