Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Mh!! HEBU ANGALIA NA WEWE HII,MREMA AKIFANYA MKUTANO WA HADHARA KWENYE JIMBO LAKE LA VUNJO


 Mbunge wa jimbo la Vunjo na Mwenyekiti wa chama cha TLP,Dk.Augustine Lyatonga Mrema akihutubia mkutano wake wa hadhara jimboni kwake  jana kwa ajili ya kuhamasisha uchaguzi wa serikali za mitaa na pia kuelezea utekelezaji wa miradi ya Maendeleo,aidha katika jimbo hilo la Vunjo kumekuwepo na Mvutano mkubwa kwa vyama vya CCM,Innocent Shirima na Mh.James Mbatia wa NCCR-Mageuzi.

PICHA KWA HISANI YA EDDY BLOG

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com