Mwigulu akisikiliza kwa makini maombi ya Bibi huyu(Hakufahamika jina) katika kijiji cha Kibaya Jimboni Iramba.
Mh.Mwigulu Nchemba akimsikiliza kwa makini mmoja ya wazee katika kijiji cha Mtekente Jimboni Iramba.Mh:Mwigulu Nchemba akisikiliza kwa makini hitaji la kijana huyu mlemavu wa miguu kijiji cha Songa-Iramba.Mapenzi kwa Watoto.Mwigulu akimsikiliza Mwananchi wake Mwenye Ulemavu wa Miguu."NIsaidie Mbunge wangu,Baiskel imechoka"MBunge akimsikiliza Mwananchi wake.Mwananchi wa kijiji cha Mingela akiteta jambo na Mbunge wakeMwananchi akitoa zawadi yake kwa Mbunge kwa namna alivyowawezesha kupata Umeme kijijini kwao Mbelekesye.Wananchi wakitoa zawadi kwa Mbunge wao "Deepest Love"Wananchi wakionesha hisia zao kwa Mh:Mwigulu Nchemba.Kazi ya Kusambaza maji Vijiji Vyote vya Iramba visivyo na Maji imeanza.Ujenzi
wa Nyumba za Walimu,Madarasa,Nyumba za Watumishi wa Vituo vya Afya kwa
kata zote za Iramba umefikia hatua ya Kuezeka bati.Mwigulu amechangia
kata zote zaidi ya bati 300 kwa kila kata.
Kaziya Kusambaza Umeme Vijiji Vyote jimbo la Iramba ilianza rasmi mapema
Mwaka huu,Hivi sasa baadhi ya Vijiji vimeshaanza kutumia umeme upande
wa kata ya Mbelekesye.
Picha/Maelezo na Festo Sanga
Social Plugin