Klabu ya
Simba SC imewasimamisha wachezaji wake watatu kutokana na kile
ninachodhaniwa wachezaji hao kuwa sehemu ya klabu hiyo kufanya vibaya.
wachezaji
waliosimamishwa ni viungo Amri Kiemba,Shabani Kisiga na Haruna
Chanongo,hapo jana jijini Mbeya Simba ililazimishwa sare ya tano msimu
huu na Prisons.
Taarifa
kutoka chanzo cha kuaminika ndani ya klabu hiyo kinasema pia benchi la
ufundi limepewa changamoto ya kuakikisha timu hiyo inakusanya pointi
tisa kutoka kwenye michezo mitatu inafuata kama ikishindikana basi
benchi Zima la ufundi nalo litapigwa chini.
via>>Matukiotz.com
Social Plugin