Rais Dkt.
Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa Ufunguzi wa Maonyesho ya
Kimataifa ya Utalii "Swahili International Tourism Expo (SITE)" kwenye
Ukumbi wa Mlimani City,Jijini Dar es Salaam leo Oktoba 2,2014.
Rais Dkt.
Jakaya Mrisho Kikwete akishirikiana na viongozi mbali mbali kukata
utepe ikiwa ni ishara ya Ufunguzi wa Maonyesho ya Kimataifa ya Utalii
"Swahili International Tourism Expo (SITE)" kwenye Ukumbi wa Mlimani
City,Jijini Dar es Salaam leo Oktoba 2,2014.
Sehemu ya
Wageni kutoka nchi mbali mbali wakifatilia kwa makini hotuba ya Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa Ufunguzi wa Maonyesho ya Kimataifa
ya Utalii "Swahili International Tourism Expo (SITE)" kwenye Ukumbi wa
Mlimani City,Jijini Dar es Salaam leo Oktoba 2,2014.
Rais Dkt.
Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na viongozi wengine wakiwa kwenye picha ya
pamoja baadhi Wafanyakazi wa Bodi ya Utalii Tanzania,ambao ndio
waratibu wakuu wa Maonyesho hayo ya Kimataifa ya Utalii "Swahili
International Tourism Expo (SITE)" kwenye Ukumbi wa Mlimani City,Jijini
Dar es Salaam leo Oktoba 2,2014. PICHA NA IKULU
Social Plugin