Duh!! Jana Shinyanga mjini hapakukalika kabla ya mechi ya Stand United na Yanga,Mashabiki wa Stand Unted walionekana wakiwa wamepanda juu ya kalandinga aka Katapila.Mashabiki waliamini katika ushindi sijui mdudu gani akapita,lakini ndiyo mambo ya mchezo,wahenga walishasema,asiyekubali kushindwa si mshindani
Stand
United wakiingia katika uwanja wa Kambarage na katapila tayari kucheza na Yanga, mwenye
shati la kitenge hapo mlangoni ni Mbunge wa Shinyanga mjini Mheshimiwa
Stephen Masele ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nishati na Madini ambaye amekuwa
bega kwa bega na timu ya Stand United.Lakini pamoja na Mbwembwe hizo bahati mbaya wakafungwa bao 3 bila
Ilikuwa ni shiidaa!!
Social Plugin